MATANGAZO YA DOMINICA YA 21 MWAKA. B. 22/08/2021.
- NDOA.
- Kwa mara ya Kwanza Ndg. Frank Shehemba Baba yake ni Martin Boniface na mama yake ni Habiba Allya anataka kufunga ndoa na Upendo Zawadi Baba yake ni Mtari Mahendeka na Mama yake ni Witness Kabega. Wote wanaishi Parokia ya Buza – DSM.
- Kwa mara ya Pili Ndg. Meldan Mashaka Baba yake ni John Mgongo na mama yake ni Leah Mito anataka kufunga ndoa na Rose Maurice Baba yake ni Maurice Kasanga na Mama yake ni Theresia Lyowa. Wote wanaishi Parokia ya Mt. Paulo wa Msalaba – K/Kuu Dodoma.
- Kwa mara ya Tatu Ndg. Francis Magohagasenga Baba yake ni George Magohagasenga na mama yake ni Agendina Sanga anataka kufunga ndoa na Amina Kalahani Baba yake ni Kalahani Msangi na Mama yake ni Sakina Omari. Wote wanaishi Parokia ya K/Ndege.
- Kwa mara ya Tatu Ndg. Albert Dominick Baba yake ni Dominick Sinare na mama yake ni Fatuma Muitafa anataka kufunga ndoa na Anjela Abedi Baba yake ni Abedi Saidi na Mama yake ni Veneranda Shabani. Wote wanaishi Parokia ya K/Ndege.
- Kwa mara ya Tatu Ndg. Steven Kaundama Baba yake ni George na mama yake ni Vailet Mgao anataka kufunga ndoa na Victoria Mallya Baba yake ni Edward Mallya na Mama yake ni Evetha Edward. Wote wanaishi Parokia ya Moyo Mt. wa Yesu – KIHESA.
- Kwa mara ya Tatu Ndg. John Henry Baba yake ni Henry John na mama yake ni Evalina Blasi anataka kufunga ndoa na Benifrida Alfred Baba yake ni Alfred Arobogast na Mama yake ni Marygoreth Justin. Wote wanaishi Parokia ya Mt. Gaspar – DSM.