MATANGAZO

MATANGAZO YA DOMINIKA YA 5 YA MWAKA ‘C’– 09/02/2025

  1. Jumla kuu ya Fungu la kumi mwezi wa kwanza tumekusanya kiasi cha Tsh. 19,771,718/=

Paroko anawashukuru waamini wote waliotoa zaka ya mwezi wa kwanza. Mungu awabariki nyote.

  • Bahasha za fungu la kumi zinapatikana katika stuli ndani ya Kanisa na kwenye viboksi nje ya Kanisa. Waamini mnahimizwa kuwa waaminifu katika kutoa fungu la kumi, na kurudisha bahasha hizo katika masanduku ya sadaka Kanisani na si kwenye viboksi nje ya Kanisa.
  • Tunawashukuru Jumuiya ya MT. MAGRETH MARIA ALACOQUE  na  MT. AGATHA  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. STANSLAUS KOSTIKA na (B) MT. KIZITO.  Jumuiya ya MT. FRANCIS JEROME  na B.M.T.L wajiandae.
  • NDOA.
  • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Amoni Cosmas, wazazi wake ni Cosmas Kihanda na Pudensiana Stela anataka kufunga ndoa na Devotha Michael, wazazi wake ni Michael Ramadhani na Julieth Naingo.
  • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Adelitus Evarist, wazazi wake ni Evarist Stanslaus na Leticia Kokushubira anataka kufunga ndoa na Naomi Alex, wazazi wake ni Alex Captain na Monica Nyamkwele.

MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:

Parokiayakiwanjachandege.or.tz.

NA KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish                          

KWA VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:

YOUTUBE: Kndege Parish

FACEBOOK: Parokia Ya Kndege

INSTAGRAM: Kndege_Parish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *