- Jumuiya ambozo hazijarejesha fomu za sensa mnaombwa kuzirudisha.
- Wahazini wote wa jumuiya na vyama vya kitume ngazi ya parokia, mnajulishwa kuwa kutakuwa na semina
kuhusu taratibu za kutunza fedha. Semina hiyo itafanyika tarehe 28.09.24 kuanzia saa tatu na nusu asubuhi
katika ukumbi wa Mt. Inyasi. Mnaombwa kufika bila kukosa. - Viongozi wa Jumuiya zifuatazo mnaobwa kuangalia ratiba ya misa za Jumuiya wiki hili katika ubao wa
matangazo. MT. YOHANE PAULO WA II, MT.ALOYCE GONZAGA, MT. GABRIEL MALAIKA
MKUU, MT. MICHAEL MALAIKA MKUU, MT. DAVID LEWIS, MT. JOSEPHIN BAKITA NA
MT. ANTHONY DANIEL - Mkuu wa wilaya ya Dodoma anatutangazia UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA
KURA. Zoezi hili litafanyika kuanzia Tar. 25 September hadi 01/October. Zoezi hili linawahusu wafuatao:-
Wale watakaofikisha umri wa miaka 18 mwakani 2025 siku ya kupiga kura.
Wale ambao vitambulisho vyao vimepotea au kuharibika.
Wale ambao wamehama toka eneo moja kwenda eneo jingine la kiuchaguzi.
Uandikishwaji utafanyika katika Mitaa yetu kuanzia 08:00 asubuhi hadi 06:00 jioni. - Leo mara baada ya Misa ya pili, Masista watawapelekea wagonjwa na wazee Ekaristi Takatifu kwenye
Jumuiya zifuatazo MOYO MTAKATIFU WA YESU, B.M.T.L, MT. MAGRETH MARIA
ALACOQUE, MT. MARIA GORETI, MT. ALBERTO HURTADO, MT. BERNADETHA Jumapili
Ijayo wajiandae Jumuiya zifuatazo: MT. YUDA THADEI, MT. NICHOLAUS OWEN, MT. ANDREA
KAGWA, MT. ALPHONCE RODRIGUEZ, MT. KAROLI LWANGA, MT. ROBERT BELLARMINE.
Mama na baba huruma mnaombwa kuwachukua Masista karibu na Sakristia. - Tunashukuru Jumuiya ya MT. FRANCIS JEROME na MT. ALBERTO HURTADO kwa kazi nzuri ya usafi na
kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. RITA WA KASHIA na (B) MT ANDREA
KAGWA. Jumuiya ya MT. MARIA GORETI, na MT. YUDA THADEI wajiandae. - NDOA. (KATIKA MISA YA PILI NA YA TATU TU)
a) Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Alick Alexander, wazazi wake ni Alexander Kipinge na Junisia Kilimila anataka
kufunga ndoa na Emiliana Mark, wazazi wake ni Mark Lasway na Floriana Donasian.
b) Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Adelhelm Adrehelm, wazazi wake ni Oddo Mlowe na Pelagia Mtenga anataka
kufunga ndoa na Angela Anselem, wazazi wake ni Anselem Fredrick na Mary Frank.
c) Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Benedict Gaitan, wazazi wake ni Gaitan Lwimbo na Maria Mdemu anataka
kufunga ndoa na Magreth Yona, wazazi wake ni Yona Songo na Evalina Songo.
d. Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Stanslaus Joachim, wazazi wake ni Joachim John na mary swamee anataka
kufunga ndoa na Rehema Said , wazazi wake ni Said Ikono na
e. Kwa mara ya Pili: Ndg. Tadei Zenus, wazazi wake ni Zenus Kwangu na Lightness Zenus anataka kufunga ndoa
na Matrina John, wazazi wake ni Msafiri John na Jeni Amos.
f. Kwa mara ya Tatu: Ndg. Costantine Marco, wazazi wake ni Marco Mwita na Mecktilda Melemo anataka
kufunga ndoa na Theresia Daniel, wazazi wake ni Daniel Patrick na Anna Onesmo.
g. Kwa mara ya Tatu: Ndg. Denis Jairos, wazazi wake ni Jairos Samwel na Donatilda Emmanuel anataka kufunga
ndoa na Agnes Emily, wazazi wake ni Emily Mpululu na Dora Ernest.
2
h. Kwa mara ya Tatu: Ndg. Imani Julias, wazazi wake ni Ernest Teendwa na Maria Ernest anataka kufunga ndoa
na Rita Mwima, wazazi wake ni Ambrose Mghanga na Rehema Akonaay.
i. Kwa mara ya Tatu: Ndg. Astero Ntirihungwa, wazazi wake ni Laurence Ntirihungwa na Helena Singo anataka
kufunga ndoa na Rosemary Fortunatus, wazazi wake ni Fortunatus Lissu na Filbertha Lissu.
Matangazo haya yanapatikana katika tovuti ya parokia:PAROKIAYAKIWANJACHANDEGE.OR.TZ.
Pia yanapatikana kwa App ya parokia: KNDEGE PARISH. app inapatikana playstore.
Kwa video ya matukio ya parokia tembelea youtube chanel: KNDEGE PARISH
Facebook ya parokia ni: PAROKIA YA KNDEGE
Waumini mnaombwa kujiunga katika mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbalimbali za parokia
MATANGAZO YA DOMINICA YA 25 YA MWAKA ‘B’– 22/09/2024
22
Sep