MATANGAZO

MATANGAZO YA DOMINICA YA 11 YA MWAKA B 16/06/24

    • Tarehe 29/6/2024 kutakuwa na Mkutano maalum wa H/Walei utakaofanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa Inyasi. Mkutano huo ni maalum kwa ajili ya kujadili na kupitisha kanuni za uendeshaji wa Parokia. Viongozi wote wa Jumuiya na wenyeviti wa vyama vya kitume ngazi ya Parokia mnaombwa kushiriki bila kukosa.
    • Tarehe 7/7/2024 kutakuwa na sherehe ya somo wa Parokia. Jumuiya zinatakiwa kuandaa chakula kwa siku hiyo.  Sherehe itatanguliwa na Semina itakayofanyika tarehe 30/06/2024.
    • Magazeti ya kiongozi na Enendeni yanapatikana hapo nje.
    • Wazazi na Walezi wa watoto waliopokea Komunyo ya kwanza tarehe 02/06/2024 wanaombwa kuchukuwa vyeti vya watoto wao katika ofisi ya Parokia kuanzia Jnne ya tarehe 18/06/2024.
    • Mafundisho ya ndoa yatakuwa tarehe 21, 22 na 23/06/2024 wanaotarajia kufunga ndoa wajiandae.
    • Kwaya ya BMTL inatarajia kupokea wageni 70 kutoka Rwanda. Kwaya inaomba waamini wenye mapenzi mema kujiandikisha kwa viongozi wa kwaya ili kuwapokea wageni na kuishi nao kuanzia tarehe 23 hadi 27 Agosti 2024.
    • Leo mara baada ya Misa ya pili, Masista watawapelekea wagonjwa na wazee Ekaristi Takatifu kwenye Jumuiya zifuatazo MT. GABRIEL MALAIKA MKUU, MT. ANDREA BOBOLA, WAT. JOACKIMU NA ANNA, MT. URSULA, MT. THERESIA WA MTOTO YESU, MT. PHILIP EVANS. Jumapili Ijayo wajiandae Jumuiya zifuatazo:MT. FRANCIS JEROME, MT. STANSLAUS KOSTIKA, MT. AGATHA, MT. JEAN MARIA MUZEEY, KRISTU MFALME, MOYO MTAKATIFU WA YESU.Mama na baba huruma mnaombwa kuwachukua Masista karibu na Sakristia.
    • Tunashukuru Jumuiya ya MT. GEMMA GALGAN   na  MT. BIKIRA MARIA NYOTA YA ASUBUHI  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. ANTONY DANIEL na (B) MT. MARIA GORETI.  Jumuiya ya MT. THERESIA WA MTOTO YESU,   na MT. FRANCIS WA ASISSI wajiandae.
    • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Fred Michael, baba  yake ni Michael Ringo na mama yake ni Eliema Godmark anataka kufunga ndoa na Veronica Damiani, baba yake ni Damiani Muhono na mama yake ni Frorence Mshana. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Julius Juma, baba  yake ni Emili Mafikiri na mama yake ni Lucresia Massawe anataka kufunga ndoa na Paulina Mtambalike, baba yake ni Willison Mtambalike na mama yake ni Immaculatha Sambi. Wote wanasali katika Kigango cha Mt. Peter Clever – Mlimwa C.
    • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Henrick Jordan, baba  yake ni Jordan Tumbi na mama yake ni Avengelista Nyoni anataka kufunga ndoa na Faith Omar, baba yake ni Omar Rajab na mama yake ni Zainab Ally. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Claudio Damas, baba  yake ni Damas Gabo na mama yake ni Felista Bukagu anataka kufunga ndoa na Anjelina Nyabenda, baba yake ni Nyabenda Paulo  na mama yake ni Anastasia Amon. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. George Patrick, baba  yake ni Patrick Kunambi na mama yake ni Magreth Vitalis anataka kufunga ndoa na Johaina Hassan, baba yake ni Hassan Hamis  na mama yake ni Asha Rashid. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Pili: Ndg. Daudi Jeremia, baba  yake ni Jeremia Peremena na mama yake ni Elizabeth Mbogo anataka kufunga ndoa na Imelda Gidion, baba yake ni Gidion Mng’ong’o  na mama yake ni Frida Mng’ong’o. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    1. Kwa mara ya Pili: Ndg. Gerald Joseph, baba  yake ni Joseph Gondo na mama yake ni Sarafina Thomas anataka kufunga ndoa na Claudia Laurent, baba yake ni Laurent Bugaya na mama yake ni Irene Johnface. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Pili: Ndg. Amos Sengule, baba  yake ni Sengule Gangila na mama yake ni Magen Ludaba anataka kufunga ndoa na Elizabeth Paskali, baba yake ni Paskali Kasanga na mama yake ni Dina Balaliga. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Pili: Ndg. Emmanuel Mng’ong’o, baba  yake ni Wilbert Mng’ong’o na mama yake ni Desteria Nyoni anataka kufunga ndoa na Magreth Meshack, baba yake ni Meshack Chalo na mama yake ni Coleth Kivike. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Pili: Ndg. Cosmas Gidion, baba  yake ni Gidion Ambrose na mama yake ni Devidika Shaibu anataka kufunga ndoa na Elizabeth Evarist, baba yake ni Evarist Adabu na mama yake ni Maria Sakina. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Pili: Ndg. Boniface Emmanuel, baba  yake ni Juma Hassan na mama yake ni Dorothea Mwisi anataka kufunga ndoa na Maria Mtipa, baba yake ni John Hokololo na mama yake ni Agnes Milanzi. Wote wanasali katika parokia ya Kange – Jimbo Katoliki la Tanga.
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. John Malima, baba  yake ni Jeremia Malima na mama yake ni Gemma Manzala anataka kufunga ndoa na Bertha Charles, baba yake ni Charles Kabenga na mama yake ni Anna Mbalamwezi. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Gregory Severin, baba  yake ni Severin Kissato  na mama yake ni Valeriana Kuwingwa anataka kufunga ndoa na Angela Eugenus, baba yake ni Eugenus Mlula na mama yake ni Mariana Mlula. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Daudi Gaudensi, baba  yake ni Gaudensi Mlelema  na mama yake ni Albertina Magayu anataka kufunga ndoa na Fatuma Hamisi, baba yake ni Hamisi Iddi na mama yake ni Furaha Hamisi. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Tatu Ndg Hilary Mapunda baba  yake ni Hilary Klodwig na mama yake ni Chiku Athumani anataka kufunga ndoa na Bernadetha Kiswaga baba yake ni David Raphael na mama yake ni  Grace Magolyo.  Wote wanasali katika parokia ya Iyumbu-Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Peter Simon, baba  yake ni Simon Chuwa  na mama yake ni Yasinta Epimark anataka kufunga ndoa na Ester John, baba yake ni John Matias na mama yake ni Juliana John. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Michael  Emmanuel, baba  yake ni Emmanuel Michael  na mama yake ni Pasquina John anataka kufunga ndoa na Taji Jobu, baba yake ni Jobu Fundi na mama yake ni Lucy Fonga. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
    • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Jackson Sibora, baba  yake ni Joseph Sibo na mama yake ni Penina Songa  anataka kufunga ndoa na Joyce Hugo, baba yake ni Hugo  na mama yake ni Magreth Mapunda. Wote wanasali katika parokia ya Ifunda – Jimbo Katoliki la Iringa.

    MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:parokiayakiwanjachandege.or.tz NA KWA MATUKIO MBALIMBALI YA PAROKIA TEMBELEA YOUTUBE YA PAROKIA: KNDEGEPARISH  

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *