Uncategorized

MATANGAZO YA DOMINICA KRISTO MFALME  MWAKA ‘B’– 24/11/2024

  1. Kutakuwa na uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi za viongozi zilizo achwa wazi. Uchaguzi utafanyika tarehe 7/12/2024.  Viongozi wa jumuiya na vyama vya kitume mnaombwa kuwasilisha taarifa za nafasi zilizo wazi kwenye ofisi ya H/Walei mwisho wa kupokea taarifa hizo ni tarehe 3/12/2024.
  • Taarifa ya Mavuno kwa Mwaka 2024 itatolewa tarehe 01/12/2024 na pia washindi wa kila jumuiya watatangazwa siku hiyo.
  • Karismatiki Katoliki Parokia ya Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Kisasa, wanafanya Kongamano la kumshukuru Mungu kwa Baraka alizowajalia Mwaka huu wa Kanisa na Kuomba baraka kwa Mwaka Mpya wa Kanisa.  Mkutano ulianza tarehe 22/11/2024 – 01/12/2024 Parokiani Kisasa.
  • Tunashukuru Jumuiya ya MT. GABRIEL MALAIKA MKUU  na  MT. MONICA  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. ALPHONCE RODRIGUEZ na (B) MT. THERESIA WA AVILLA.  Jumuiya ya MT. ANDREA BOBOLA,  na KRISTU MFALME wajiandae.
  • NDOA. (YASOMWE KATIKA MISA YA PILI TU)
  • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Johnson John, wazazi wake ni John Theodory na Eusebia Fidelis anataka kufunga ndoa na Julia Revocatus, wazazi wake ni Revocatus Muchunguzi na Anna Reverian.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Martin Nderumo, wazazi wake ni Martin Massawe na Avelina Folonja anataka kufunga ndoa na Pauleta Thadei, wazazi wake ni Thadei Mushi na Bernadetha Lucas.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Michael Eckson, wazazi wake ni Eckson Mwampamba na Sitina Kasebele anataka kufunga ndoa na Beatrice William, wazazi wake ni William Msiwa na Veronica Mtungwa.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Esdory Richard, wazazi wake ni Richard Chacha na Selina Shirati anataka kufunga ndoa na Emelita Sharoni, wazazi wake ni Ramadhani Lemu na Flora Ernest.

MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:

Parokiayakiwanjachandege.or.tz.

NA KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish                          

KWA VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:

YOUTUBE: Kndege Parish

FACEBOOK: Parokia Ya Kndege

INSTAGRAM: Kndege_Parish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *