- Viongozi wa UWAKA Jumuiya zote za Parokia ya K/Ndege mnakumbushwa kuwasilisha mchango wa Sh. 60,000/= na kuendelea kwa ajili ya nyumba ya malezi Seminari ya Miyuji. Michango hiyo iwasilishwe kabla ya tarehe 01/03/2025.
- Alhamisi tarehe 20/02/2025 Padre atawapelekea wagonjwa na wazee Ekaristi Takatifu kwenye Kanda ya YERIKO. Alhamisi ijayo tarehe 27/02/2025 wajiandae Kanda ya VATICAN.Viongozi wa Kanda mnaombwa kumchukua Padre karibu na ofisi ya Parokia saa nne kamili asubuhi.
- Tunawashukuru Jumuiya ya MT. ROBERT BELLARMINE na MT. SIMONI ZELOTE kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. FRANCIS JEROME na (B) B.M.T.L. Jumuiya ya MT. STEPHANO na MT. ALBERTO HURTADO wajiandae.
- NDOA.
- Kwa mara ya Pili: Ndg. Amoni Cosmas, wazazi wake ni Cosmas Kihanda na Pudensiana Stela anataka kufunga ndoa na Devotha Michael, wazazi wake ni Michael Ramadhani na Julieth Naingo.
- Kwa mara ya Pili: Ndg. Adelitus Evarist, wazazi wake ni Evarist Stanslaus na Leticia Kokushubira anataka kufunga ndoa na Naomi Alex, wazazi wake ni Alex Captain na Monica Nyamkwele.
MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:
Parokiayakiwanjachandege.or.tz.
NA KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish
KWA VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:
YOUTUBE: Kndege Parish
FACEBOOK: Parokia Ya Kndege
INSTAGRAM: Kndege_Parish
MATANGAZO YA DOMINIKA YA 6 YA
MWAKA ‘C’– 16/02/2025 1.
Viongozi
wa UWAKA Jumuiya zote za Parokia ya K/Ndege mnakumbushwa kuwasilisha mchango wa
Sh. 60,000/= na kuendelea kwa ajili ya nyumba ya malezi Seminari ya
Miyuji. Michango hiyo iwasilishwe kabla
ya tarehe 01/03/2025. 2.
Alhamisi tarehe
20/02/2025 Padre atawapelekea wagonjwa na wazee Ekaristi Takatifu kwenye Kanda
ya YERIKO. Alhamisi ijayo tarehe 27/02/2025
wajiandae Kanda ya VATICAN. Viongozi wa Kanda mnaombwa kumchukua Padre
karibu na ofisi ya Parokia saa nne kamili asubuhi. 3.
Tunawashukuru
Jumuiya ya MT. ROBERT BELLARMINE na MT. SIMONI ZELOTE kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia
utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. FRANCIS JEROME na (B) B.M.T.L. Jumuiya ya MT. STEPHANO na
MT. ALBERTO HURTADO wajiandae. 4.
NDOA.a)
Kwa mara ya Pili: Ndg. Amoni Cosmas,
wazazi wake ni Cosmas Kihanda na Pudensiana Stela anataka kufunga
ndoa na Devotha Michael, wazazi wake ni Michael Ramadhani na Julieth
Naingo. b)
Kwa mara ya Pili: Ndg. Adelitus Evarist,
wazazi wake ni Evarist Stanslaus na Leticia Kokushubira anataka
kufunga ndoa na Naomi Alex, wazazi wake ni Alex Captain na Monica
Nyamkwele. MATANGAZO
HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:Parokiayakiwanjachandege.or.tz.
NA
KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish KWA
VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:YOUTUBE:
Kndege ParishFACEBOOK:
Parokia Ya Kndege INSTAGRAM:
Kndege_Parish