Uncategorized

MATANGAZO YA DOMINIKA YA UBATIZO WA BWANA MWAKA ‘C’– 12/01/2025

  1. Mafundisho ya ndoa kwa wanandoa watarajiwa yatakuwa tarehe 24-26/01/2024 hapa Parokiani.
  • Mkutano wa H/Walei utafanyika tarehe 25/01/2025 kuanzia saa 3:30 asubuhi katika ukumbi wa Inyasi. Viongozi wa Jumuiya na Wenyeviti wa vyama vya kitume ngazi ya Parokia mnaombwa kuhudhuria mkutano huo bila kukosa.
  • Waamini waliofanya vipimo vya afya na kupewa dawa hapa Parokiani na Madaktari wa tiba mbadala(BF-Suma) wanaombwa kuwaona madaktari hao hapa Parokiani leo tarehe 12.01.2025 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa 12 jioni ili kujua maendeleo ya kiafya ya waamini hao. Pia watafanya vipimo kwa wale wanaohitaji huduma hiyo.
  • Tunawashukuru Jumuiya ya MT. DAVID LEWIS  na  MT. FRANCIS BORGIA  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. ALOYCE GONZAGA na (B) MT. JOSEPHINE BAKITHA.  Jumuiya ya MT. PIO  na MT. JOHN DE BRITO wajiandae.
  • NDOA.
  • Kwa mara ya Kwanza: Ndg. Frank Sebastian, wazazi wake ni Sebastian Masinde na Noela Manyama anataka kufunga ndoa na Roziana Eliutha, wazazi wake ni Eliutha Chuhila na Flora Mgidange.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Alisen Fredy, wazazi wake ni Renatus Majja na Carolina Flavia anataka kufunga ndoa na Victoria Leonard, wazazi wake ni Laurent Leonard na Jenista Mhagama.

MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:

Parokiayakiwanjachandege.or.tz.

NA KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish                          

KWA VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:

YOUTUBE: Kndege Parish

FACEBOOK: Parokia Ya Kndege

INSTAGRAM: Kndege_Parish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *