Uncategorized

MATANGAZO YA DOMINIKA YA FAMILIA TAKATIFU MWAKA ‘C’– 29/12/2024

MATANGAZO YA DOMINIKA YA FAMILIA TAKATIFU MWAKA ‘C’– 29/12/2024

  1. Watu wazima wasio na masakramenti mbalimbali mnaombwa kujiandikisha katika ofisi ya makatekista. Mafundisho yataanza Ijumaa tarehe 3/1/2025.
  2. Misa ya mkesha wa mwaka mpya, tarehe 31.12.2024, itaanza saa 03:00 usiku.
  3. Kutakuwa na misa moja tu mwaka mpya, tarehe 01.01.2025, itakayoanza saa 01:00 asubuhi.
  4. Ofisi ya Parokia itafungwa kuanzia tarehe 05/01/2025 na kufunguliwa tarehe 14/01/2025.
  5. Kutakuwa na misa ya shukrani ya mavuno kijmbo itakayofanyika katika Parokia ya Veyula tarehe 04.01.2025. Waamini wote mnaombwa kushiriki na kumshukuru Mungu kwa majitoleo hayo ya mwaka mzima.
  6. Mafundisho ya ndoa kwa wanandoa watarajiwa yatakuwa tarehe 24-26/01/2025 hapa Parokiani.
  7. Tunashukuru Jumuiya ya MT. MIKAELI MALAIKA MKUU  na  MT. PETER FABER  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. DAVID LEWIS na (B) MT. FRANCIS BORGIA.  Jumuiya ya MT. YOHANE PAULO WA II  na MT. DOMINICO wajiandae.

MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:

Parokiayakiwanjachandege.or.tz.

NA KWA APP YA PAROKIA: Kndege Parish                          

KWA VIDEO ZA MATUKIO YA PAROKIA TEMBELEA:

YOUTUBE: Kndege Parish

FACEBOOK: Parokia Ya Kndege

INSTAGRAM: Kndege_Parish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *