MATANGAZO

MATANGAZO YA DOMINICA YA 12 YA MWAKA ‘B’– 23/06/2024

  1. Jumapili ijayo Tarehe 30/06/2024 tutakuwa na Semina kwa waamini wote. Semina hiyo ni ya kutuandaa kwa sherehe ya somo wa parokia itakayokuwa Tarehe 7/7/2024. Siku hiyo tutakuwa na misa Tatu tu. Misa ya kwanza saa 12:00 asubuhi, ya pili saa 1:30 asubuhi, na ya tatu saa 10:00 asubuhi.
  • Viongozi wa Jumuiya mnakumbushwa kuwa tarehe 07/07/2024 Siku ya sherehe ya Parokia tutamkabidhi Katekista Aidan zawadi kama tulivyokubaliana kwenye Mkutano wa Halimashauri. Hivyo michango ya kutoka Jumuiyani iwasilishwe kwa Mhazini wa Parokia Mapema.
  • Vijana wote wa Kiume kuanzia miaka 15 – 35 Mnaombwa na Uongozi wa Uwaka Parokia kuhudhuria semina Maalum itakayofanyika tarehe 29/06/2024 kuanzia saa 03:00 Asubuhi pia viongozi  wa Jumuiya mnaobwa kupitia barua getini.
  • Wazazi na walezi wa watoto wa Kipaimara wanatangaziwa kuwa watoto watafanya mtihani tarehe 29/06/2024 siku ya Jumamosi saa 08:00 Asubuhi. Mnaobwa kuwahimiza watoto kufika kwa wakati.
  • Leo mara baada ya Misa ya pili, Masista watawapelekea wagonjwa na wazee Ekaristi Takatifu kwenye Jumuiya zifuatazo MT. FRANCIS JEROME, MT. STANSLAUS KOSTIKA, MT. AGATHA, MT. JEAN MARIA MUZEEY, KRISTU MFALME, MOYO MTAKATIFU WA YESU. Jumapili Ijayo wajiandae Jumuiya zifuatazo:MT. MAGRETH MARIA ALACOQUE, MT. MARIA GORETI, MT. ALBERTO HURTADO, MT. BERNADETHA, MT. NICHOLAUS OWEN, MT. ANDREA KAGWA.Mama na baba huruma mnaombwa kuwachukua Masista karibu na Sakristia.
  • Tunashukuru Jumuiya ya MT. KATARINA WA SIENA   na  MT. URSULA  kwa kazi nzuri ya usafi na kusimamia utaratibu wa Ibada. Juma lijalo ni zamu ya (A) MT. THERESIA WA MTOTO YESU na (B) MT. FRANCIS WA ASISSI.  Jumuiya ya MT. PETER FEBAR,   na MT. YOSEPH MFANYAKAZI wajiandae.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Fred Michael, baba  yake ni Michael Ringo na mama yake ni Eliema Godmark anataka kufunga ndoa na Veronica Damiani, baba yake ni Damiani Muhono na mama yake ni Frorence Mshana. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Lameck Makoye, baba  yake ni Sylivanus Gombanila na mama yake ni Clemencia Yamizi anataka kufunga ndoa na Irene Wunuo, baba yake ni Anderson Wunuo na mama yake ni Mary Shuma. Bw. Harusi  Mtarajiwa anasali Parokia ya K/Ndege na Bi. Harusi Mtarajiwa anasali Parokia ya Mt. Kaloli Lwanga – Kahama.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Julius Juma, baba  yake ni Emili Mafikiri na mama yake ni Lucresia Massawe anataka kufunga ndoa na Paulina Mtambalike, baba yake ni Willison Mtambalike na mama yake ni Immaculatha Sambi. Wote wanasali katika Kigango cha Mt. Peter Clever – Mlimwa C.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Paschal Anthony, baba  yake ni Anthony Mdamu na mama yake ni Rufina Mwenda anataka kufunga ndoa na Rebecca Ezekiel, baba yake ni Ezekiel Chapote na mama yake ni Happiness Chapote. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Henrick Jordan, baba  yake ni Jordan Tumbi na mama yake ni Avengelista Nyoni anataka kufunga ndoa na Faith Omar, baba yake ni Omar Rajab na mama yake ni Zainab Ally. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. Claudio Damas, baba  yake ni Damas Gabo na mama yake ni Felista Bukagu anataka kufunga ndoa na Anjelina Nyabenda, baba yake ni Nyabenda Paulo  na mama yake ni Anastasia Amon. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Pili: Ndg. George Patrick, baba  yake ni Patrick Kunambi na mama yake ni Magreth Vitalis anataka kufunga ndoa na Johaina Hassan, baba yake ni Hassan Hamis  na mama yake ni Asha Rashid. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  1. Kwa mara ya Tatu: Ndg. Daudi Jeremia, baba  yake ni Jeremia Peremena na mama yake ni Elizabeth Mbogo anataka kufunga ndoa na Imelda Gidion, baba yake ni Gidion Mng’ong’o  na mama yake ni Frida Mng’ong’o. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Gerald Joseph, baba  yake ni Joseph Gondo na mama yake ni Sarafina Thomas anataka kufunga ndoa na Claudia Laurent, baba yake ni Laurent Bugaya na mama yake ni Irene Johnface. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Amos Sengule, baba  yake ni Sengule Gangila na mama yake ni Magen Ludaba anataka kufunga ndoa na Elizabeth Paskali, baba yake ni Paskali Kasanga na mama yake ni Dina Balaliga. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Emmanuel Mng’ong’o, baba  yake ni Wilbert Mng’ong’o na mama yake ni Desteria Nyoni anataka kufunga ndoa na Magreth Meshack, baba yake ni Meshack Chalo na mama yake ni Coleth Kivike. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Cosmas Gidion, baba  yake ni Gidion Ambrose na mama yake ni Devidika Shaibu anataka kufunga ndoa na Elizabeth Evarist, baba yake ni Evarist Adabu na mama yake ni Maria Sakina. Wote wanasali katika parokia ya K/Ndege – Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.
  • Kwa mara ya Tatu: Ndg. Boniface Emmanuel, baba  yake ni Juma Hassan na mama yake ni Dorothea Mwisi anataka kufunga ndoa na Maria Mtipa, baba yake ni John Hokololo na mama yake ni Agnes Milanzi. Wote wanasali katika parokia ya Kange – Jimbo Katoliki la Tanga.

MATANGAZO HAYA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA PAROKIA:parokiayakiwanjachandege.or.tz. YOUTUBE YA PAROKIA NI: KNDEGEPARISH, MNAOMBWA KU-SUBSCRIBE.FACEBOOK YETU NI: PAROKIA YA KNDEGE

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *